HABARI MPYA KUTOKA KLABU YA YANGA ASUBUHI YA LEO 17/2/2018
byMASENGWA-
0
Klabu ya Yanga wakitumia ukurasa wao wa Instagram wamewaweka Tayari wapenzi na Washabii wa Timu hiyo kuwa wapo katika hatua za Kuwaletea Application (Yanga App) ya Kisasa itakayokuwa na Habari kuhusu Yanga