SIKILIZA WIMBO MPYA WA DIAMOND PLUTNUM...KAWAIMBA WAPENZI WAKE WOTE NA KUWACHIMBA MKWARA
byMASENGWA-
0
Msanii Diamond Platinumz ambaye amepata mafanikio makubwa sana kupitia kazi zake za muziki anazozifanya, amekuja na kibao kipya ambacho ameimba kuhusu mpenzi wake.Kibao kimepewa jina ‘Niache’