
Tazama kionjo cha Video ya Msanii Jackie Akinyi wimbo unaitwa Nyundona .Huyu ni msanii wa Kitanzania anayeimba kwa Lugha ya Kijaluo. Nyundona ina maana ya "Ukiwa na kifaaa kama nyundo unaweza kutumia kubomoa vitu flani ama kama una mashine unaweza kuitumia mashine kusagia unga wako".

TUMIA DAKIKA ZAKO NNE KUTAZAMA DEMO YA WIMBO NYUNDONA WA JACKIE AKINYI
Tags:
burudani