Magoli ya Azam Fc yamefungwa na Yahya Mohammed dakika ya 22, Kangwa 45 Enock Atta dakika ya 50, Salmin Hozza dakika ya 59. naye Mbaraka Yusuph akaweka bao la 5 dakika ya 67
Mahundi katika dakika ya 72 akafunga bao la 6, Atta akarudi kambani kwa goli la 7 na 8 Azam inajiweka sawa kwaajili ya Ligi Kuu VPL wakati timu ya Transit Camp inajiandaa dhidi ya Ligi
Tags:
michezo