MPYA YANGA: HABARI NJEMA KUTOKA KWENYE KIKOSI CHA YANGA LEO 28.8.2017

Mara baada ya Klabu ya Yanga Kuanza mchezo wake wa Kwanza VPL 2017/2018 KWA Sare ya bao1 kwa 1 dhidi ya Wanapaluhengo Lipuli Fc Kocha Mkuu wa Timu hiyo George Lwandamina AmetoaMapumziko ya Siku Moja na Kesho mazoezi yataendelea na mazoezi asubuhi.

WACHEZAJI WATAKAOKOSA MAZOEZI
Ndugu msomaji Wa Mkalimangi blog Wachezaji Ramadhani Kabwili, Gadiel Michael, Kelvin Yondani na Raphael Daudi hao watakosa Mazoezi ya Kesho kutokana na Kuwa katika KAMBI ya Timu ya Taifa.
Previous Post Next Post