
Mara baada ya Emmanuel Okwi kufunga pekee lililowapa ushindi Uganda dhidi ya Misri, msemaji wa kalabu yake Haji manara kafunguka ya kwake kupitia mtandao wa INSTAGRAM..
Haji Manara ameyaandika haya;
Mliyemwita mhenga Emmanuel Okwi, kawalaza na viatu mafarao....Sahau kuhusu nne alizompiga mbeba simu,! Simba 1-Egypt 0 ..ahh tholi Uganda 1- Egypt 0
Tags:
michezo