Video Mpya na Kali : BHUDAGALA MWANA MALONJA - BHANA BHANE

Habari njema kwa wapenzi wa nyimbo za asili!! Msanii wa nyimbo za asili Bhudagala Mwana Malonja ameachia ngoma mpya kabisa mwaka 2017.Tunakualika kutazama Video ya Bhudagala Mwana Malonja inaitwa "Bhana Bhane".Ni ngoma kali balaa ya asili.
Tazama Video ya Bhana Bhane kutoka kwa Bhudagala Mwana Malonja Hapa chini
Previous Post Next Post