Noma Sana!! MWANAUME AOA MWANAUME MWENZAKE BILA KUJIJUA HUKO MTWARA

Dunia imekwisha ndivyo unavyoweza kusema!! Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni...Kutoka Mkoani Mtwara tumepata habari kuwa mwanamme mmoja amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuoa mwanamme mwenzake bila kujua.

Hii imetokea katika kijiji cha Mkahara mkoani Mtwara ambapo mwanamme huyo amejikuta akivunja ukimya kuwa mtu aliyemuoa siyo mwanamke bali ni mwanamme kwani tangu amuoe hajawahi kupewa tendo la ndoa.

Inaelezwa kuwa jamaa huyo kaishi na mwanamme mwenzie kwa muda wa miezi minne na kila akitaka wafanye tendo la ndoa mwenzie hudai kuwa anaumwa.
Msikilize hapa mama mkwe akifunguka
Previous Post Next Post