Habari tulizozipata hivi punde ni kwamba zaidi ya watu watatu wamepoteza maisha baada ya Hiace waliyokuwa wanasafiria kugongana na Land Cruiser asubuhi hii katika eneo la Izengwabahara Segese Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.
Inaelezwa kuwa Hiace ilikuwa inatoka Kakola kwenda Kahama Mjini na Landcruiser ilikuwa inatokea Kahama Mjini.
Taarifa kamili tutawaletea hivi punde...
PICHA KWA HISANI YA MALUNDE1 BLOG
Tags:
habari