MSICHANA MMOJA SINGIDA ACHOMA NYUMBA NA KUHATARISHA MAISHA YA WATU 7 KISA WIVU MAPENZI

Jeshi la Polisi Mkoani Singida linamshikilia msichana mmoja amabye anaumri wa miaka ishirini na moja(21) kwa kosa la kuchoma moto nyumba waliyokuwemo watu 7 na kuhatarisha maisha yao. 


Yadaiwa sababu kubwa iliyomsukuma binti huyo mpaka akajikuta anaitia kiberiti nyumba hiyo ni wivu wa mapenzi.
Previous Post Next Post