
Klabu ya kuongea na kuandika Kingereza
Je,ungependa kuongea na kuandika kingereza live?
Je, ungependa kuongeza misamiati uliyokua nayo ili kujenga mfumo wako wa kujiamini (confidence)
Jiunge na SPOKEN ENGLISH CLUB kila Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 8:00 mchana na kuanzia saa 8:00 mchana hadi saa 10:00 jioni
English tenses pia tunazipa kipaumbele ili kumpa mtu uwezo mzuri wa kuongea kingereza kulingana na wakati
Pia ada zetu ni 10,000/= (elfu kumi tu) kwa kila mwez tunapatikan Dar-es-salaam.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba
+255658186122
+255784186122
+255759568644
where there's a will there's a way
penye nia pana njia
NYOOOTE MNAKARIBISHWA!!!