TINDA DECORATIONS!!, Ni Magwiji na wataalamu wa kupamba kumbi za sherehe kama vile graduations, harusi, ibada, ubarikio, send off, kitchen party, mikutano, semina n.k.Wanao wataalamu wa kutosha, waliosomea fani hiyo ambao wako updated kila kunapokucha.
Haishii hapo tu, TINDA DECORATIONS wako full!! kwani mbali na kupamba wanakodisha viti tenti kwa ajili ya matukio kama haya kwa bei nafuu kabisa.
Ukiwapata TINDA DECORATIONS utakuwa umepata kila kitu kwa ajili ya sherehe yako, hautahangaika kutafuta vinavyopelea.
Ofisi zao zipo wazi kila siku katika jengo la SELF HOTEL SHINYANGA karibu na ofisi za PRIDE SHINYANGA mkabala na MADUKA MENGI.
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA
Simu namba +255767536233
HIZI PICHA HAPA CHINI NI BAADHI YA KAZI WALIZOWAHI KUFANYA,KARIBU UJIONEE
Baadhi ya kazi zinazofanywa na TINDA DECORATIONS
Tags:
Matangazo