Masengwa Blog inakupa fursa wewe Mfanya Biashara Kuweza kutangaza Biashara yako kwa Bei nafuu na kwa urahisi zaidi kuweza kuwafikia wateja.
Tangaza Biashara yako nasi ili uweze kufikia malengo uliyo jiwekea katika Biashara yako, Masengwa Blog ina uwezo mkubwa wa kutangaza Biashara yoyote ile kama vile Maduka, Bidhaa, Mikutano,vipindi vya ibada, Viwanja na Mashamba, Nyumba na Apartment.
Tunapokea matangazo yoyote yaleisipo kuwa matangazo ya Sex Toys na Product za Kukuza makalio..
Mahitaji yetu ni Picha za Product yako unazo taka kutangaza ( zisizidi picha 15) na maelezo ya Product yako pamoja na Contact zako na Location Ulipo..
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa njia ya whatsapp au kutupigia kwa simu namba +255753336000
Tags:
Matangazo