HIVI HAPA VILABU 33 VITAKAVYOSHIRIKI KLABU BINGWA AFRIKA 2023/2924
Hivi ndio vilabu 33 vitakavyoshiriki ligi ya Mabingwa barani Afrika #CAFCL kwenye msimu wa 2023 /24 ambapo taarifa zinaeleza kuwa siku ya jana orodha ya timu zitakazoshiriki michuano hiyo ziliwasilishwa kwenye Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF.
Egypt :Al Ahly na Pyramids Fc
Morocco :Far Rabat na Wydad Athletic Club
Tunisia : Etoile Sahel na Esperance De Tunis
Algeria: CR Belouizdad na Constantine
Afrika Kusini : Mamelodi Sundowns na Orlando Pirates
DR Cong0: As Vita Club na TP Mazembe
Angola: Petro Luanda na 1° De Agosto
Nigeria: Enyimba na Remo Stars
Guinea : Hafia Fc na Horoya Fc
Tanzania: Young Africans Sc na Simba Sc
Ghana: Madeama Fc
Zambia : Power Dynamos
Mauritania: Fc Nouadhibou
Rwanda :APR
Togo : As Kar
Ivory Coast: Asec Mimosas
Uganda: Vipers Sc
Liberia : Liscr Fc
Kenya : Gor Mahia Fc
Burundi:Bumamuru Fc
Cameroon: Coton Sports
Botswana: Jwaneng Galaxy
Eswatini : Green Mamba
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: