WACHEZAJI WA SIMBA WATAKOIKOSA MECHI DHIDI YA MTIBWA SUGAR HAWA HAPA

Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Simba SC zinaeleza kuwa wachezaji Jonas Mkude na Kibu Denis wataukosa mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa siku ya Jumamosi katika uwanja wa Manungu Complex uliopo Tuliani mkoani Morogoro.

Wachezaji hao waliumia kwenye mchezo dhidi ya Mbeya City, mchezo ulioisha kwa Simba SC kupoteza kwa bao 1 kwa 0 . Wachezaji hao wataungana na mchezaji Thadeo Lwanga ambaye ni majeruhi wa muda mrefu

Post a Comment

0 Comments