YANGA YAWAPA HESHIMA WANACHAMA KWA KUUNDA KAMATI YA MASHINDANO

Kamati ya Utendaji ya Yanga iliyokutana jana Alhamisi na kufanya kikao maalumu, imeteua majina 28 ya wanachama kuunda kamati mpya ya mashindano.

Katika uteuzi huo Hussein Nyika amekuwa mwenyekiti huku makamu wake akiwa ni Mustapha Ulungu. Pia Samuel Lukumay ameteuliwa kuwa katibu wa kamati hiyo.

Pia imeteua wajumbe 21 wanaounda kamati hiyo; miongoni mwao wapo Yanga Makanda, Shija Richard na Pascal Kihanga.

Post a Comment

0 Comments