HIZI HAPA TETESI ZA KOCHA MPYA WA SIMBA SC ATAKAYERITHI MIKOBA YA OMOG


Pamoja na kuwepo kwa taarifa kwamba Simba imeanza kumuwania Selemani Matola ili kukinoa kikosi chake akisaidiana na Masoud Djuma, taarifa za uhakika zimeeleza, Simba imefanya mazungumzo na Goran Kopunovic.

Kopunovic alikuwa Simba kabla ya kuamua kuondoka baada ya dau alilotaka kulipwa kushindikan
Kocha huyo aliiwezesha Simba kubeba Kombe la Mapinduzi mara tu baada ya kujiunga nayo.

Simba imeanza mazungumzo na kocha huyo baada ya kumuondoa Joseph Omog ambaye atarejea kwao Cameroon.

Uongozi wa Simba umeingia kwenye hasira baada ya kuvuliwa ubingwa wa Kombe la Shirikisho na kikosi cha daraja la pili cha Green Worries

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 753 336 000 au +255 625 917 902

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.