HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA REHA FC LEO JUMAPILI DISEMBA 24, 2017


Kikosi cha kwanza cha Yanga Sc dhidi ya Reha Fc Azam Sports Federation Cup saa 16:00 jioni katika uwanja wa uhuru, mchezo huu utakuwa live Azam sports 2


1. Youthe Rostand
2. Juma Abdul
3. Haji Mwinyi
4. Feston Kayembe
5. Vicent Andrew
6. Papy Kabamba
7. Pius Buswita
8. Thaban Kamusoko
9. Amiss Tambwe
10. Raphael Daud Loth
11. Ibrahim Ajibu Migomba

Kikosi cha Akiba
Beno Kakolanya, Hassan Kessy, Nadir Horoub, Gadiel Michael Mbaga, Pato Ngonyani,Emmanuel Martin, Mahadhi, Geofrey Mwashuya.

Post a Comment

0 Comments