ZITTO KABWE AKAMATWA NA POLISI ASUBUHI YA LEO
Mbunge Zitto Kabwe amekamatwa na Polisi leo asubuhi Jumanne Oktoba 31,2017 akiwa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam na amepelekwa Kituo cha Polisi Chang'ombe.
****
TAARIFA KWA UMMA
ZITTO KABWE AKAMATWA
KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo,Zitto Kabwe,amekamatwa na jeshi la Polisi muda huu akiwa nyumbani kwake na anapelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe
Sababu za kukamatwa kwake ni hotuba ya juzi katika kata ya Kijichi
Abdallah Khamis
Afisa Habari
ACT Wazalendo
0655549154
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi