Video: BABA YAKE JOTI HATARI....AWAACHA WATU HOI, HIKI NDIO ALICHOMWAMBIA JOTI SIKU YA HARUSI YAKE
Baba mazazi wa Joti amemtaka mwanaye kuwa mtulivu katika maisha yake ya ndoa huku akidai yeye alikuwa na vituko hata kumzidi mtoto wake huyo lakini aliamua kutulia ili kuendesha maisha yake.
Mzee huyo amesema hayo wakati wa sherehe ya ndoa ya mtoto wake huyo iliyofanyikia Mlimani City Dar es salaam ambapo pia amemtaka Joti kuomba msamaha pindi anapomkosea mke wake. VIDEO:
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi