MATOKEO YA MECHI YA SIMBA NA YANGA


Dakika 90 za mtanange wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania bara kati ya Simba na Yanga zimemalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana goli 1-1
Simba wamejipatia goli kupitia kwa Shiza Ramadhan Kichuya dakika ya 55,huku Yanga wakisawazisha katika dakika ya 57 kupitia kwa Obrey Chirwa.

Mechi ya miamba hao miwili ya soka Tanzania, Simba na Yan­ga imefayika leo Jumamosi Oktoba 28,2017 katika Uwanja wa Uhu­ru jijini Dar es Salaam.

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 753 336 000 au +255 625 917 902

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa
Powered by Blogger.