SEMINA KUBWA YA NENO LA MUNGU KKKT USHARIKA WA IKIRANYI JIJINI ARUSHA

Uongozi wa usharika wa Ikiranyi jijini Arusha, ukishirikiana na huduma ya JOEL YOTHAM MINISTRY umeandaa semina kubwa ya neno la Mungu itakayoanza siku ya Jumapili tarehe 17/09/2017 hadi 24/09/2017 kila siku kuanzia saa 9:00 alasiri hadi saa 12:30 jioni. Semina hiyo itahudumiwa na mwalimu JOEL YOTTAM MKEMWA  wa hapo hapo Arusha

Waimbaji mbalimbali wa nyimbo za injili akiwemo SHIZA SANGA kutoka Iringa.

Waleteni wagonjwa na wenye shida mbalimbali nao watapata uponyaji...

NYOTE MNAKARIBISHWA!!!