Afisa Habari wa klabu ya Simba Haji Manara ameguswa na Kile kilichotokea leo kwa Mwanasiasa wa Chama cha Upinzani Tundu Lissu cha Kupigwa Risasi na watu wasiofahamika, Manara amekiri kuwa yeye ni mwanachama wa CCM na Kuandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram.
" Mm ni mwanaccm kindakindaki na sina haya kwenye hili,,ila mm ni mtanzania zaid kuliko itikadi yangu,naomba uzima wa afya ya mh Tundu Lisu @tundulissutz,upone haraka bro,muhimu tuache vyombo vije kutupa uchunguzi wao
