
Ikiwa bado hali ya Rais wa chama cha mawakili Tanganyika TLS, Tundu lissu kuwa sio nzuri sana, viongozi mbalimbali wa Tanzania na Kenya wameonyesha kuwa na matumaini mara baada ya kupokea taarifa kwa madaktari ambazo zinaonyesha hali huenda ikabadilika na kuwa shwari muda wowote.
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, Mh Freeman Mbowe ameongea na waandishi wa habari na kuonyesha kuutupia lawama uongozi wa chama cha mapinduzi CCM juu ya sakata hili.
Tizama video hapa chini>>>