ALOANDIKA FACEBOOK KUWA LISSU ANGEUAWA AKAMATWA NA POLISI HUKO ARUSHA




Jeshi la polisi mkoani Arusha limemshilikia kijana mmoja afahamikae kwa jina la Abuu aliyesambaza ujumbe kwenye account yake ya Facebook maneno makali kuhusu Mh Tundu lissu akisema ni bora majambazi wangemuuwa ameshikwa ili akawasaidia polisi. Mpaka sasa yuko kituo cha polisi Kijenge Arusha kwa kuhojiwa zaidi.

TOA MAONI YAKO