TANGAZO LA SEMINA YA NENO LA MUNGU

Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania usharika wa AMANI SINGIDA, unapenda kuwatangazia watu wote kuwa kutakuwa na semina ya neno la Mungu itakayoanza tarehe 01.04.2017 hadi 09-04-2017 katika usharika huo kila siku kuanzia saa9:00 alasiri mpaka saa 12:00 jioni.
Mwalimu wa semina hiyo ni mwalimu HAPPINESS M. KIHAMA kutoka Shinyanga mjini.

Huyu ndio Mwalimu Happiness M. Kihama

 Moja kati ya huduma alizowahi kufanya Mwalimu Happiness M. Kihama

 Huduma zake ndio hizi

 Mwalimu alipokuwa akifundisha sehemu flani

 Huduma yake ni pana mno

 Mungu akiwa upande wake

Ewe mtu wa Mungu usikubali ukapitwa na semina hii, kwani Mungu ameandaa kitu kwa ajili yako.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba
+255754266396

WALETENI WAGONJWA NA WENYE SHIDA MBALIMBALI NAO WATAOMBEWA KWA JINA LA YESU

NYOTE MNAKARIBISHWA!!