ORODHA YA MAJINA 155 YA MAKATIBU WA CCM WILAYA ZA TANZANIA BARA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya uteuzi wa watendaji katika nafasi ya Makatibu wa Mikoa na Wilaya za Tanzania Bara.