Faida za uyoga mwekundu

















Uyoga mwekundu au ganoderma ni aina mojawapo ya uyoga ambao ni mgumu na wenye ladha uchungu umekuwa ukitumiwa kwa miaka mingi na nchi kama vile China kama dawa na kuboresha afya kwa ujumla kutokana na idadi kubwa ya virutubisho vilivyomo katika uyoga huu. 
Uyoga huu unaaminika kwa kusaidia kuondoa uchovu, husaidia wenye presha, kujenga afya bora na kungeza kinga mwilini n.k. Ganoderma inaonyesha matokeo mazuri katika kupunguza kiwango cha kolestro (lehemu) na kupunguza matatizo yanayotokana na mizio.
Utumiaji wa mara kwa mara wa virutubisho vya kuongeza kinga kwa watu wenye saratani, uyoga mwekundu (ganoderma) umeonyesha kuimarisha kinga ya mwili kwa haraka zaidi na vile vile kupambana na uzalishwaji wa seli zinazosababisha saratani na virusi.
Tafiti mbalimbali zilizofanyika zimebainisha kuwa matumizi ya mara kwa mara ya bidhaa zilizotengenezwa kwa kutumia uyoga mwekundu (ganoderma) yanaweza kuongeza kiwango cha utoaji sumu mwilini na kuulinda mwili dhidi ya magonjwa na kuzeeka. Aidha uyoga huu pia umeonyesha matokeo mazuri katika kupambana na maambukizi katika njia ya mkojo, na magonjwa yote ambayo ni sugu.
inawezekana kwako ikawa ngumu kuupata uyoga wenyewe katika eneo lako, bado unayo nafasi ya kuupata ukiwa katika mfumo wa vidonge vilivyotengenezwa kwa teknolojia bora na ya kisasa zaidi. Vidonge hivi havijaongezwa kemikali yoyote, ni vya asili kabisa. Viko vidonge 60 ambavyo vinatumika kwa siku 15. Vidonge hivi vinatumiwa na mtu yeyote anayependa kuboresha afya yake.
Hizi ni baadhi ya faida za vidonge vilivyotengenezwa na uyoga mwekundu (Ganoderma):
• Ni rahisi kuyeyuka kwa 100%
. Inaondoa uchovu
. Inapandisha CD4 katika damu hivyo kusaidia wenye HIV/AIDS
• Inaongeza kinga ya mwili
• Inasaidia matatizo yote ambayo ni sugu
• Inapunguza madhara ya mionzi (chemotherapy)
• Inaongeza hamu ya kula
• Inaboresha mzunguuko wa damu katika mishipa mikubwa.
• Inazuia matatizo ya moyo.
• Inaponya mishipa ya fahamu.
• Inasaidia mfumo wa upumuaji.
• Inasaidia mfumo wa ngozi na kuondoa mizio (allergy).
• Inalinda na kusaidia figo na kufanya ifanye kazi vizuri.
• Ni imara kushindana na virusi, fungus, bacteria na wadudu wengine mwilini
• Inasaidia kuondoa sukari, inafanya damu iloganda iyeyuke na inaondoa sumu mwilini.
• Inasaidia wenye matatizo ya upungufu wa damu.
• Inaweka sawa afya ya mwili

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 753 336 000 au +255 625 917 902

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa
Powered by Blogger.