SIKU YA 6: MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU YENYE KICHWA CHA SOMO "KANUNI/MBINU ZA KUVUNJA MASHARITI TULIYOWEKEWA NA UTAWALA WA KISHETANI
Karibu katika mafundisho ya semina ya neno la Mungu katika kanisa la KKKT usharika wa Ebeneezer Kanisa Kuu yanayoletwa kwako na Mwalimu Joel Yottam Mkemwa kutoka Arusha.
SOMO:
SOMO:
Kanuni/mbinu za kuvunja masharti tuliyowekewa na utawala wa
kishetani (Mark 5:25-30)
Leo ni siku ya sita(Ijumaa) ya semina yetu, Tumemuona Mungu
akifungua mipaka tuliyowekewa na utawala wa kishetani.
Watu wakipokea nguvu ya kuvunja utawala wa kishetani
Wanasifa wakiwa wamezama katika maombi ya kuvunja utawala wa kishetani.
Mwalimu Joel Y. Mkemwa akihudumia watuNguvu ya Roho mtakatifu ikifanya kazi
Wana maombi wakihudumia
Watu wakifunguliwa
Mungu akiwafungua watu wake
Acheni Mungu aitwe Mungu
Walopagawa na mapepo Mungu ametenda miujiza kwao
Hivi ndivyo ilivyo kuwa siku ya leo
MUNGU AKUBARIKI SANA!!
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi