JIONEE PICHA ZA KIWANDA CHA MATAIRI YA PIKIPIKI KINACHOENDELEA KUWAKA MOTO HUKO MIKOCHENI DAR ES SALAAM
November 10 2016 zimenifikia taarifa za kiwanda cha matairi ya pikipiki kuwaka moto maeneo ya Mikocheni Industrial Area karibu na chuo kikuu cha Tumaini.
Kwa mujibu wa moja kati ya wafanyakazi wa eneo la kiwanda hicho ameeleza kuwa sehemu inayoendelea kuungua ni sehemu ambayo zimehifadhiwa tairi za pikipiki, chubu pamoja na pikipiki ambazo hazina matairi.
millardayo.com inaendelea kufuatilia kwa kina chanzo cha moto huu, hadi sasa jeshi la zimamoto halijafanikiwa kuzima moto juhudi zinaendelea.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi