TANGAZO: PATA HUDUMA BORA ZA MATIBABU KATIKA ZAHANATI YA KKKT EBENEEZER - KANISA KUU SHINYANGA
Zahanati ya KANISA LA KIINJILI LA
KILUTHERI TANZANIA (KKKT) usharika wa EBENEEZER KANISA KUU SHINYANGA inapenda
kuwatangazia watu wote, ndani na nje ya
nchi kuwa, ni zahanati itoayo huduma mbalimbali katika ubora wa hali ya juu kwa
masaa 24.
Huduma hizo ni pamoja na;
- Matibabu
- Ushauri wa kiafya
- Huduma za kliniki ya baba, mama na mtoto
- Huduma za kujifungua kwa akina mama wajawazito
- Kliniki ya meno
- Vipimo vya damu, haja kubwa na ndogo, presha, sukari, n.k
Zahanati
hii pia inatoa huduma kwa wateja wenye BIMA na wasio na BIMA kwa gharama nafuu
kabisa. BIMA zinazopokelewa katika zahanati hii ni za NHIF,NSSF,VITUO
MBALIMBALI VYA COMPASION, CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ISIS), VISION FUND
TANZANIA tawi la Shinyanga.
Zahanati hii ipo katika kanisa la KKKT usharika wa Ebeneezer - Kanisa kuu, jirani kabisa na shule ya msingi Mwenge Shinyanga.
Inapatikana kwa SLP. 372 Shinyanga
KWA MAWASILANO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA +25570282763878, +255755754589, +255712791818
NYOOOOTE MNAKARIBISHWAAA.....!!
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi