
Baada ya klabu ya Yanga kufungwa goli moja kwa bila dhidi ya Rivers United, msemaji wa klabu hiyo ameandika katika ukurasa wake wa instagram.
"Tunazo Dakika Tisini nyingine za kupambania team yetu..
Chini ya Jua hili hakuna kisichowezekana..
Tupeane pole kwa matokeo ya leo but tusikate tamaa"
Tags:
michezo