Breaking News: RAIS MAGUFULI ATEUA MWINGINE KUTOKA ACT-WAZALENDO KUWA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO

Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya chama cha Act - Wazalendo, Bibi Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
Previous Post Next Post