Uongozi wa KANISA LA
KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA (KKKT) Usharika wa Ebeneezer Kanisa Kuu
Shinyanga unapenda kuwatangazia watu wote kuwa kuanzia tarehe 06 hadi tarehe
13/11/2016 kutakuwa na semina ya neno la Mungu itakayokuwa ikifundishwa na Mwalimu JOEL Y. MKEMWA
Semina hii itakuwa ikianza kila siku kuanzia saa 9:30
alasiri hadi saa 12:30 jioni.
KICHWA CHA SOMO:
MBINU/KANUNI ZA KUVUNJA MASHARTI TULIYOWEKEWA NA UTAWALA WA KISHETANI
(Mark 5:25-30)
MAHALI: Kanisa la KKKT Usharika wa Ebeneezer Kanisa kuu Shinyanga
MUDA: Saa 9:30 alasiri hadi saa 12:30 jioni
TAREHE: 06/11 hadi 13/11/2016
Waleteni wagonjwa, waliofungwa na wenye shida mbalimbali na Mungu
atawafungua.
NYOTE MNAKARIBISHWA